Kuwezesha Jamii

Watu wengi hupenda kusimama kando na kutazama tu kuzinduliwa kwa mambo mazuri

empowering the community drupal research

Lakini ili tusonge mbele (Boost up), ni lazima tuiwezeshe jamii kwa kuwa mmoja wa miale yake.

Empowering the community 3

Au kwa kuwa tone kubwa la maji, linalokusanya ushiriki wa jamii hadi kuwa bahari ya mambo ya kustaajabisha.

Mambo mazuri hayatushukii tu kutoka angani hivi hivi.

Basi tusonge mbele (Boost up) ili kuiwezesha jamii.